Register | Login

Home » News Headlines

Kinara Wa Wiper Kalonzo Musyoka Kuongoza Upatanishi Makueni

20
Vote
Posted by admin 80 days ago (http://www.kenyanews247.com)
Hoja iliyopigiwa upatu na wawakilishi wa kaunti ya Makueni ya kumwondoa mamlakani gavana Kivutha Kibwana imefutiliwa mbali huku kinara wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka akitarajiwa kuongoza mikakati ya kuwapatanisha viongozi wote wa Makueni. Haya yamejiri baada ya magavana Alfred Mutua pamoja na gavana wa Kitui Julius Malombe kufanya kikao katika ofisi kuu ya kaunti ...

The

Read More | Discuss  Bury

Majaji Wa ICC Kuamua Iwapo Kesi Ya Rais Kenyatta Itatupwa Nje Au Kuahirishwa

20
Vote
Posted by admin 80 days ago (http://www.kenyanews247.com)
Upande wa mashtaka katika mahakama ya ICC sasa unataka mahakama hiyo kuahirisha kwa muda usiojulikana kesi dhidi ya rais Uhuru Kenyatta na wakati huo huo kuifikisha serikali ya kenya mbele ya kikao cha mataifa wanachama wa mkataba wa Roma, kwa kudinda kushirikiana na mahakama hiyo. Kwa upande wake, mawakili wa rais Kenyatta wakiongozwa ...

The post Majaji Wa ICC Kuamua Iw

Read More | Discuss  Bury

Watu 2 Zaidi Wauawa Na Wengine 5 Kujeruhiwa Bungoma

20
Vote
Posted by admin 80 days ago (http://www.kenyanews247.com)
Watu wawili zaidi wameuwawa katika msururu wa mashambuli amabyo yamekuwa yakitekelzwa katika eneo Kimilili kaunti ya Bungoma. Inadaiwa kwamba washambulizi hao hujihami kwa silaha butu na kuwagonga watu hadi kuwauwa

The post Watu 2 Zaidi Wauawa Na Wengine 5 Kujeruhiwa Bungoma appeared first on K24 Tv.

Read More | Discuss  Bury

Rais Kenyatta Awashukuru Walioandamana Naye Hague

20
Vote
Posted by admin 80 days ago (http://www.kenyanews247.com)
Rais Uhuru Kenyatta amesema ni mwingi wa matumaini ya kutupiliwa mbali kwa kesi dhidi yake. Dakika chache baada ya kuondoka kizimbani Uhuru amesema kwamba anarejea nchini kuendelea na majukumu yake kuwatumikia wakenya bila wasiwasi. Nje ya mahakama hiyo alipokelwa kwa mbwembwe na wabunge na wakenya wengine waliondamana naye.

The post Rais Kenyatta Awashukuru Walioandamana N

Read More | Discuss  Bury

Kenya: Ruto's period as Acting President expired at 6pm: State House

20
Vote
Posted by admin 80 days ago (http://www.kenyanews247.com)
The legal instrument appointing Deputy President William Ruto Acting President expired Wednesday evening at 6pm, consequently Uhuru Kenyatta assumed his full constitutional authority as the President.

Read More | Discuss  Bury

Senzani Defence Team Intends to Appeal

1
Vote
Posted by admin 80 days ago (http://allafrica.com)
[Malawi24]Necton Mhura who is lawyer to the former Principle Secretary in the Ministry of Tourism, Tressa Senzani has said the defence team intends to file an appeal on the sentence given to their client.

Read More | Discuss  Bury

Chitsulo Says Nomads Poor Form Due to Failure to Bribe Referees

1
Vote
Posted by admin 80 days ago (http://allafrica.com)
[Malawi24]Mighty Wanderers supporters' Executive which is led by Diness Chitsulo, has accused the team's main executive of failing to bribe referees in TNM Super League and cup games this season.

Read More | Discuss  Bury

Participate in Donor-Funded Projects, Rumphi DC Tells Farmers

1
Vote
Posted by admin 80 days ago (http://allafrica.com)
[Malawi News Agency]Rumphi -Rumphi District Commissioner, Rodrick Mateauma, has asked farmers in the district to fully participate and utilise assistance offered by donors through irrigation projects to boost food security at household level.

Read More | Discuss  Bury

Submit Press Release

Submit RSS Feeds

Subcribe or Follow AfricaNewswire.Net

Buzz
Buzz
Twitter
Twitter
Facebook
Facebook
RSS
RSS
Email
Email
Share/Bookmark

SPONSORED LINKS

MiningNewswire.net - Mining News

Mining Industry News and Mining press releases from public and private companies. Mining Newswire accepts press releases and headline news.

Unlimited Press Release Distribution Services

Unlimited Mass Media SEO Press Release Distribution with Guaranteed Results™ U.S. National Distribution. Post unlimited SEO press releases on Emailwire.com, GroupWeb Media Network and mass media outlets to reach U.S. and global audience.

Business Internet Marketing

Business Internet Marketing is a leading edge SEO firm that not only gets your website to the top of an organic search, but we drive the customers you want directly to your website Guaranteed!

MoneyNewswire.Net

News on Stocks, Finance and management of money from various newswires; site also includes press releases relating to business, finance, real estate and investing.

Aviation-NewsWrie.Com

Aviation news and resouces covering aviation industry; website accepts and publishes press release distribution for the aviation industry.

Submit WebsiteView More Websites