Register | Login
 

Home » News Headlines » Countries » Kenya

 
 

Ronaldo double keeps Madrid in title hunt

1
Vote
Posted by admin 103 days ago (http://www.nation.co.ke)
Real Madrid moved back to within five points of La Liga co-leaders Barcelona and Atletico Madrid with a hard-fought 3-0 win at home to Celta Vigo on Monday.

Read More | Discuss  Bury
 
 

Mergers, buy-outs to dominate the bourse

20
Vote
Posted by admin 102 days ago (http://www.kenyanews247.com)
The trend of mergers and acquisitions that took centre stage on the Nairobi Securities Exchange last year is expected to continue in 2014

Read More | Discuss  Bury
 
 

JAMUHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO-USALAMA: Hali ya usalama yaendelea kudorora katika baadhi ya maeneo ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo

1
Vote
Posted by admin 106 days ago (http://www.kiswahili.rfi.fr)
Serikali ya Kinshasa imekanusha taarifa za kutokea kwa mashambulizi katika uwanja wa ndege wa kijeshi wa Ndolo hapo jana jioni jijini Kinshasa, ikiwa ni siku tatu baada ya kushuhudiwa kwa mashambulizi kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa njili, na vituo vingine vitatu muhimu.   Lambe

Read More | Discuss  Bury
 
 

SUDANI KUSINI-ETHIOPIA-MAZUNGUMZO: Mazungumzo ya kusaka amani Sudan Kusini yanatazamiwa kuanza rasmi leo ijumaa baada ya kusuasua kwa siku mbili zilizopita

1
Vote
Posted by admin 106 days ago (http://www.kiswahili.rfi.fr)
Serikali ya Ethiopia imesema kua mazungumzo ya kusaka amani katika taifa changa la Sudan Kusini, ambalo linakabiliwa na mapigano kwa zaidi ya majuma mawili sasa kati ya jeshi linalomuunga mkono rais wa nchi hio, Salva Kiir, na aliekua makamo wake, Riek Machar. Wajumbe kutoka pande zote mbili, inaarifiwa kua, wamewasili mjini Addis Ababa, nchini Ethiopia.

Read More | Discuss  Bury
 
 

MADAGASCAR-MATOKEO YA UCHAGUZI: Tume ya Uchaguzi nchini Madagascar yamtangaza mshindi wa uchaguzi wa urais

1
Vote
Posted by admin 106 days ago (http://www.kiswahili.rfi.fr)
Herry Rajaonarimampianina, ambae anaungwa mkono na utawala unaomaliza muda wake, ameshinda uchaguzi wa rais nchini Madagascar, kwa mujibu wa taarifa ya mwisho iliyotolewa Ijumaa , lakini uthibitisho wa ushindi wake utategemea na uamuzi wa mahakama iliokabidhiwa kufikiria maombi kwa uvunjaji kesi iliyowasilishwa mahakamani hivi karibuni na mpinzani wake, Robin

Read More | Discuss  Bury
 
 

: zaidi ya watu 100 wauawa katika mapigano ya jeshi dhidi ya Al Qaeda

1
Vote
Posted by admin 105 days ago (http://www.kiswahili.rfi.fr)
Zaidi ya watu mia moja wameuawa katika makabilianao makali kati ya polisi wa iraq na kundi la wanamgambo wenye mahusiano na kundi la kigaidi la Al Qaeda ambalo limechukua udhibiti wa maeneo ya jimbo la Anbar na kutangaza maeneo kuwa taifa la kiislamu. Makabiliano kati ya wanausalama dhidi

Read More | Discuss  Bury
 
 

SUDANI KUSINI-MAZUNGUMZO: Mazungumzo ya kusaka amani Sudan Kusini kuanza jumapili hii Addis Ababa nchini Ethiopia

1
Vote
Posted by admin 104 days ago (http://www.kiswahili.rfi.fr)
Mazungumzo ya ana kwa ana baina ya pande zinazohasimiana nchini Sudani Kusini yanatarajiwa kuanza leo jumapili jijini Addis Ababa nchini Ethiopia. Wajumbe wa Rais Salva Kiir na wale wa aliyekuwa makamu wake Riek Machar waliwasili Addis Abab takribani siku tatu zilizopita lakini hawakuweza kuanza mazungumzo hayo wakisubiri ajenda ya majadiliano ambayo walitaka

Read More | Discuss  Bury
 
 

BANGLADESH: Wananchi wa Bangladesh waanza kupiga kura katika uchaguzi uliosusiwa na wapinzani

1
Vote
Posted by admin 104 days ago (http://www.kiswahili.rfi.fr)
Wananchi wa Bangladesh wameanza kupiga kura hii leo katika uchaguzi ambao umesusiwa na wapinzani. Waziri Mkuu Sheikh Hasina ana nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi katika uchaguzi huo, wapinzani wanamshutumu kiongozi huyo kupanga mikakati ya udanganyifu ili kujipati aushindi. Waziri mkuu wa

Read More | Discuss  Bury
 
 
Submit Press Release
 
Submit RSS Feeds
 

Subcribe or Follow AfricaNewswire.Net

 
Buzz
Buzz
Twitter
Twitter
Facebook
Facebook
RSS
RSS
Email
Email
Share/Bookmark
 
 
 
 
 

SPONSORED LINKS

 

MiningNewswire.net - Mining News

Mining Industry News and Mining press releases from public and private companies. Mining Newswire accepts press releases and headline news.

Unlimited Press Release Distribution Services

Unlimited Mass Media SEO Press Release Distribution with Guaranteed Results™ U.S. National Distribution. Post unlimited SEO press releases on Emailwire.com, GroupWeb Media Network and mass media outlets to reach U.S. and global audience.

Business Internet Marketing

Business Internet Marketing is a leading edge SEO firm that not only gets your website to the top of an organic search, but we drive the customers you want directly to your website Guaranteed!

MoneyNewswire.Net

News on Stocks, Finance and management of money from various newswires; site also includes press releases relating to business, finance, real estate and investing.

Aviation-NewsWrie.Com

Aviation news and resouces covering aviation industry; website accepts and publishes press release distribution for the aviation industry.
 
Submit WebsiteView More Websites