Register | Login
 

Home » News Headlines » Countries » Kenya

 
 

LIBYA- USALAMA: Libya yapoteza wanajeshi wanne

1
Vote
Posted by admin 142 days ago (http://www.kiswahili.rfi.fr)
Wanajeshi wanne wa Libya wameuawa katika matukio mbalimbali mjini Benghazi mashariki mwa Libya, duru za hospitali na za usalamazimearifu Hali ya usalama inaendelea kudorora katika mji wa Benghazi, nchini Libya. © Mohammed Salem/Reuters

Read More | Discuss  Bury
 
 

UKRAINE-URUSI-MACHAFUKO: Mzozo wa Ukraine;waasi wa mashariki kupiga kura ya maoni ya kujitenga au kubaki na Ukraine

1
Vote
Posted by admin 143 days ago (http://www.kiswahili.rfi.fr)
Watu wanaounga mkono Urusi katika majimbo mawili ya mashariki mwa Ukraine wanapiga kura ya maoni hatua ambayo mataifa ya magharibi na serikali ya kiev imeilaani. Maandalizi ya kura maoni mashariki mwa Ukraine yametimia AFP PHOTO / GENYA SAVILOV

Read More | Discuss  Bury
 
 

SYRIA: Msafara wa mwisho wa waasi waondoka mjini Homs

1
Vote
Posted by admin 144 days ago (http://www.kiswahili.rfi.fr)
Serikali ya Syria leo Jumamosi inafurahia ishara ya ushindi wakati huu raia wanaanza kurejea katika mji wa Old City jijini Homs baada ya waasi wa mwisho kuondoka chini ya mpango wa uokoaji.   Vikosi vya rais Assad vikisimamia zoezi la kuondoka kwa waasi katika eneo la Old City mji

Read More | Discuss  Bury
 
 

NIGERIA-USALAMA: Goodluck: wasichana waliyotekwa watapatikana

1
Vote
Posted by admin 145 days ago (http://www.kiswahili.rfi.fr)
Wakati nchi za Marekani, Uingereza, Uchina na Ufaransa zikiwa zimeungana na nchi ya Nigeria katika operesheni maalumu ya kuwasaka wasichana waliotekwa na kundi la Boko Haram, rais wa Nigeria Goodluck Jonathan amesisitiza kuwa wasichana hao watapatikana na kurejea kwenye familia zao. Rais wa

Read More | Discuss  Bury
 
 

UN-SUDANI KUSINI-UHALIFU: UN: uhalifu dhidi ya binadamu katika machafuko nchini Sudani Kusini

1
Vote
Posted by admin 145 days ago (http://www.kiswahili.rfi.fr)
Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu nchini Sudan Kusini, imeonyesha kuwa kuna uwezekano mkubwa wa pende zinazokinzana kwenye mzozo wa taifa hilo kuhusika na makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu. Wakimbizi wa ndani wa Sudani Kusini wakipewa hifadhi katika kambi ya umoja wa

Read More | Discuss  Bury
 
 

PALESTINA-ICC: Wanaharakati wa haki za binadamu wamtolea wito Mahmoud Abbas kuitambua ICC

1
Vote
Posted by admin 145 days ago (http://www.kiswahili.rfi.fr)
Mashirika ya kutetea haki za bunadamu likiwemo shirika la Amnesty International juma hili yametoa wito kwa serikali ya mamlaka ya Palestina kutia saini mkataba unaotambua mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ya ICC. Rais wa Mamlaka ya Palestina, Mahmoud Abbas akiombwa na mashirika yan

Read More | Discuss  Bury
 
 

SUDANI KUSINI-MAZUNGUMZO:  Salva Kiir na Riek Machar uso kwa uso

1
Vote
Posted by admin 145 days ago (http://www.kiswahili.rfi.fr)
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir hii leo anatarajiwa kukutana ana kwa ana na aliyekuwa makamu wake wa rais na sasa ni kiongozi wa waasi wa nchi hiyo, Riek Machar, mkutano unaokuja kwa viongozi hawa kujaribu kumaliza tofauti zao na kuleta amani nchini humo. Rais wa Sudani Kusini, Salava Kiir

Read More | Discuss  Bury
 
 

UKRAINE-URUSI-MACHAFUKO: Waasi wa Ukraine waitisha kura ya maoni

1
Vote
Posted by admin 146 days ago (http://www.kiswahili.rfi.fr)
Waasi wa Ukraine waanaounga mkono Urusi wameamua kubaki na msimamo wao wa kupiga kura jumapili ya uhuru wa eneo la mashariki mwa Ukraine, huku serikali ya Kiev ikitangaza kuendeleza operesheni ya kijeshi mashariki mwa taifa hilo. Denis Pouchiline (katikati),mmoja kati ya viongozi wa jamhuri

Read More | Discuss  Bury
 
 
Submit Press Release
 
Submit RSS Feeds
 

Subcribe or Follow AfricaNewswire.Net

 
Buzz
Buzz
Twitter
Twitter
Facebook
Facebook
RSS
RSS
Email
Email
Share/Bookmark
 
 
 
 
 

SPONSORED LINKS

 

MiningNewswire.net - Mining News

Mining Industry News and Mining press releases from public and private companies. Mining Newswire accepts press releases and headline news.

Unlimited Press Release Distribution Services

Unlimited Mass Media SEO Press Release Distribution with Guaranteed Results™ U.S. National Distribution. Post unlimited SEO press releases on Emailwire.com, GroupWeb Media Network and mass media outlets to reach U.S. and global audience.

Business Internet Marketing

Business Internet Marketing is a leading edge SEO firm that not only gets your website to the top of an organic search, but we drive the customers you want directly to your website Guaranteed!

MoneyNewswire.Net

News on Stocks, Finance and management of money from various newswires; site also includes press releases relating to business, finance, real estate and investing.

Aviation-NewsWrie.Com

Aviation news and resouces covering aviation industry; website accepts and publishes press release distribution for the aviation industry.
 
Submit WebsiteView More Websites