Register | Login
 

Home » News Headlines » Countries » Kenya

 
 

Elderly, poor gain in Nyeri’s war on poverty and hunger

1
Vote
Posted by admin 83 days ago (http://www.nation.co.ke)
The total budget for the county this year is Sh4.7 billion with 81 per cent being financed through the equitable share from the national government.

Read More | Discuss  Bury
 
 

BURUNDI-SIASA: Burundi yaadhimisha miaka 52 ya uhuru

1
Vote
Posted by admin 81 days ago (http://www.kiswahili.rfi.fr)
Burundi leo inaadhimisha miaka 52 ya uhuru wake, akilihutubia taifa hapo jana rais Pierre Nkurunziza ameeleza kuridhishwa na kuona sikukuu hii inafanyika huku mswada wa sheria kuhusu tume ya ukweli na maridhiano CVR ikiwa imekwisha sainiwa na kuahidi kwamba mnamo mwezi julai watakaounda tume hiyo watakuwa tayari wamekwisha fahamika.

Read More | Discuss  Bury
 
 

ICTR-RWANDA-SHERIA: ICTR yathibitisha hukumu ya kifungo cha miaka jdela kwa Agustin Bizimungu

1
Vote
Posted by admin 81 days ago (http://www.kiswahili.rfi.fr)
Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita inayoshughulikia kesi za mauaji ya kimbari iliyoko mjini Arusha ICTR, hapo jana imethibitisha hukumu ya kifungo cha miaka 30 jela kwa aliyekuwa mkuu wa majeshi wa Rwanda wakati huo, Augustin Bizimungu. Sehemu ya ukumbusho wa mauwaji ya kimbari yal

Read More | Discuss  Bury
 
 

NIGERIA-BOKO HARAM-USALAMA: Nigeria: mmoja wa viongozi wa Boko Haram akamatwa

1
Vote
Posted by admin 81 days ago (http://www.kiswahili.rfi.fr)
Jeshi nchini Nigeria linadai kuwa linamshikilia mmoja wa viongozi wa kundi la Boko Haram nchini humo, anayedaiwa kuhusika na mtandao wa kiintelijensia wa kundi hilo uliohusika na utekaji nyara wa wasichana 200 mwezi Aprili mwaka huu. Waandamanaji wakiomba kukombolewa kwa wasichana zaidi ya

Read More | Discuss  Bury
 
 

SUDANI-SIASA: Rais wa Sudan atimiza miaka 25 madarakani

1
Vote
Posted by admin 81 days ago (http://www.kiswahili.rfi.fr)
Juma hili rais wa Sudan, Omar Hassan al-Bashiri anatimiza miaka 25 toka aingie madarakani nchini humo kwa mapinduzi ya kijeshi huku utawala wake ukiendelea kukabiliwa na changamoto za kijamii na kiuchumi. Rais wa Sudani, Omar Hassan Al Bashir. Reuters/Stringer

Read More | Discuss  Bury
 
 

UKRAINE-USALAMA: Rais wa Ukraine akataa kuongeza muda wa kusitisha mapigano

1
Vote
Posted by admin 81 days ago (http://www.kiswahili.rfi.fr)
Rais wa Ukraine Petro Poroshenko anayeungwa mkono na nchi za Magharibi ametangaza serikali yake kutoongeza muda wa kusitisha mapigano kati yake na waasi wa mashariki mwa nchi hiyo na badala yake anasema vikosi vyake vitakomboa miji hiyo. Rais wa Ukraine, Petro Porochenko, akionya wanaharaka

Read More | Discuss  Bury
 
 

UFARANSA-SHERIA: Ufaransa: Nicolas Sarkozy chini ya ulinzi

1
Vote
Posted by admin 81 days ago (http://www.kiswahili.rfi.fr)
Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozyamewekwa chini ya ulinzi , baada ya kurejeshwa nyumbani kwake akitokea kusikilizwa kwenye makao makuu ya polisi katika mji wa Nanterre . Anakabiliwa na tuhuma za kufanya ushawishi kuhusu kesi inayochunguzwa ya matumizi mabaya ya fedha katika uchaguzi uliopita.

Read More | Discuss  Bury
 
 

L’Oreal in US to end claims on anti-aging skin care

20
Vote
Posted by admin 81 days ago (http://www.kenyanews247.com)
NEW YORK, Jul 1 – French cosmetics giant L’Oréal has agreed to stop claiming that some of its high-end skin care products prevent signs of aging, under a deal with the Federal Trade Commission to stave off legal proceedings on grounds of misleading advertising. The FTC had targeted L’Oreal’s skin care lines Lancôme Génifique and […]

Read More | Discuss  Bury
 
 
Submit Press Release
 
Submit RSS Feeds
 

Subcribe or Follow AfricaNewswire.Net

 
Buzz
Buzz
Twitter
Twitter
Facebook
Facebook
RSS
RSS
Email
Email
Share/Bookmark
 
 
 
 
 

SPONSORED LINKS

 

MiningNewswire.net - Mining News

Mining Industry News and Mining press releases from public and private companies. Mining Newswire accepts press releases and headline news.

Unlimited Press Release Distribution Services

Unlimited Mass Media SEO Press Release Distribution with Guaranteed Results™ U.S. National Distribution. Post unlimited SEO press releases on Emailwire.com, GroupWeb Media Network and mass media outlets to reach U.S. and global audience.

Business Internet Marketing

Business Internet Marketing is a leading edge SEO firm that not only gets your website to the top of an organic search, but we drive the customers you want directly to your website Guaranteed!

MoneyNewswire.Net

News on Stocks, Finance and management of money from various newswires; site also includes press releases relating to business, finance, real estate and investing.

Aviation-NewsWrie.Com

Aviation news and resouces covering aviation industry; website accepts and publishes press release distribution for the aviation industry.
 
Submit WebsiteView More Websites