Register | Login
 

Home » News Headlines

 
 

KATIBU UVCCM MERU AMEFARIKI KWA AJALI

1
Vote
Posted by admin 51 days ago (http://www.mwananchi.co.tz)
  Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM (Uvccm) Wilaya ya Meru, Lucy Bongele amefariki dunia na watu wengine watatu kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea jana.  Mwenyekiti wa CCM mkoa, Onesmo ole Nangole alisema kuwa ajali hiyo ilitokea eneo la Kimba, Ngorongoro na kuwataja waliojeruhiwa kuwa ni pamoja na Katibu wa Uvccm mkoa, Mwajuma Rashid na dereva wao, Omar Mzava.  Ajali hiyo ilitokea wakat

Read More | Discuss  Bury
 
 

Kuna janga la chakula linaloinyemelea Tanzania

1
Vote
Posted by admin 51 days ago (http://www.mwananchi.co.tz)
Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi zilizopo Kusini mwa Jangwa la Sahara ambazo zinakabiliwa tatizo kubwa la ardhi kukosa rutuba hivyo kuashiria kuwa inaweza kukabiliwa na janga kubwa la ukosefu wa chakula katika miaka ijayo iwapo juhudi za ziada hazitafanyika.

Read More | Discuss  Bury
 
 

Van Vicker, Wema Sepetu wakutana

1
Vote
Posted by admin 51 days ago (http://www.mwananchi.co.tz)
Kama ulibahatika kuona picha katika mitandao ya kijamii ikimwonyesha Miss Tanzania 2006 ambaye pia ni mwigizaji, Wema Sepetu akiwa na nyota wa filamu kutoka Ghana, Van Vicker wawili hao wapo katika matayarisho ya filamu mpya imedhibitishwa.

Read More | Discuss  Bury
 
 

Watahiniwa kidato cha nne kuanza mitihani rasmi

1
Vote
Posted by admin 50 days ago (http://www.mwananchi.co.tz)
  Wanafunzi 297,488 wa kidato cha nne katika shule mbalimbali nchini, wanaanza mtihani wa kuhitimu utakaokamilika baada ya siku 20 huku watahiniwa wakionywa kujiepusha na vitendo vya udanganyifu.

Read More | Discuss  Bury
 
 

Mnyika:Rais atekeleze agizo lake kwa wananchi wa Ubungo

1
Vote
Posted by admin 50 days ago (http://www.mwananchi.co.tz)
  Mbunge wa jimbo la Ubungo, John Mnyika, amemtaka Rais Jakaya Kikwete kutekeleza ahadi ya kuwapatiwa wananchi wake huduma ya maji aliyoitoa mwaka mmoja uliopita. 

Read More | Discuss  Bury
 
 

Rabat et Bamako signent un mémorandum d' entente pour la gestion de la fonction publique

1
Vote
Posted by admin 50 days ago (http://apanews.net)
Le Maroc et le Mali ont signé, jeudi à Rabat, un mémorandum d'entente portant sur la gestion de la fonction publique et la modernisation de l'administration.. Signé par le ministre marocain chargé de la Fonction publique et de la Modernisation de l'administration, Mohamed Moubdii, et son homologue malien Bocar Moussa Diarra, cet accord, qui couvre des aspects de gouvernance,

Read More | Discuss  Bury
 
 

Tunisie: Le budget général de 2015 s'élève à 15 milliards de dollars

1
Vote
Posted by admin 50 days ago (http://apanews.net)
Le budget de l’Etat tunisien pour l’année 2015, qui vient d'être adopté ce jeudi par l’Assemblée des représentants du peuple (ARP), s’élève à 15,6 milliards de dollars.. Selon la morasse budgétaire, les ressources propres de l'Etat se chiffrent à 21,59 milliards de dinars, soit 72% du volume global des ressources budgétaires dont 19,82 milliards de dinars proviennent d

Read More | Discuss  Bury
 
 

Le gouvernement ivoirien "n'est pas surpris" par la confirmation des charges contre Blé Goudé

1
Vote
Posted by admin 50 days ago (http://apanews.net)
Le gouvernement ivoirien a déclaré, jeudi soir, qu'il "n'est pas surpris" par la confirmation le même jour des charges contre Charles Blé Goudé qui sera jugé par la Cour pénale internationale.. "Personne n'est surprise de cette confirmation des charges contre M. Blé Goudé", a déclaré le porte-parole du gouvernement Bruno Nabagné Koné qui s'exprimait au cours d'une conférence de presse à l'issue

Read More | Discuss  Bury
 
 
Submit Press Release
 
Submit RSS Feeds
 

Subcribe or Follow AfricaNewswire.Net

 
Buzz
Buzz
Twitter
Twitter
Facebook
Facebook
RSS
RSS
Email
Email
Share/Bookmark
 
 
 
 
 

SPONSORED LINKS

 

MiningNewswire.net - Mining News

Mining Industry News and Mining press releases from public and private companies. Mining Newswire accepts press releases and headline news.

Unlimited Press Release Distribution Services

Unlimited Mass Media SEO Press Release Distribution with Guaranteed Results™ U.S. National Distribution. Post unlimited SEO press releases on Emailwire.com, GroupWeb Media Network and mass media outlets to reach U.S. and global audience.

Business Internet Marketing

Business Internet Marketing is a leading edge SEO firm that not only gets your website to the top of an organic search, but we drive the customers you want directly to your website Guaranteed!

MoneyNewswire.Net

News on Stocks, Finance and management of money from various newswires; site also includes press releases relating to business, finance, real estate and investing.

Aviation-NewsWrie.Com

Aviation news and resouces covering aviation industry; website accepts and publishes press release distribution for the aviation industry.
 
Submit WebsiteView More Websites